Rahisi, Kisasa na Salama
Simamia taarifa za washirika, wageni, matukio na hata fedha kwa ufanisi kupitia KanisaSoft. Mfumo bora wa usimamizi kwa makanisa ya kisasa.
Kiongozi Mkuu
Msaidizi wa Kiongozi
Mratibu wa Huduma
Panga ibada, mikutano na sherehe maalum kwa kalenda ya kidigitali na inayoonekana kwa wote.
Weka viongozi wa vikundi na ufuatilie taarifa zao kwa usahihi.
Mchungaji, katibu au mhasibu kila mmoja anaona dashboard yake yenye taarifa anazohitaji.

Kwa kutumia KanisaSoft, unaweza kutuma ujumbe mfupi (SMS) kwa washirika wako kwa wakati mmoja.

KanisaSoft hukuwezesha kuhifadhi taarifa za washirika kwa usalama na kwa mpangilio bora.

Iwe uko ofisini, nyumbani au njiani—unaweza kuingia kwenye KanisaSoft kupitia kompyuta au simu yenye intaneti.
Wasiliana na timu yetu kwa ajili ya majaribio ya mfumo, ushirikiano, au kuanza kutumia huduma zetu: